
Watu 26 wamenusurika kifo 19 kati yao wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro huku saba kati yao wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi mali ya kampuni ya New Force walilokuwa wakisafiria kutoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka katika eneo la Mindu nje kidogo ya mji wa Morogoro.
Watu 19 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi mali ya kampuni ya New Force kupinduka mkoani Morogoro |
| 5 Likes | 5 Dislikes |
| 1,695 views views | 207,451 followers |
| Education | Upload TimePublished on 2 Feb 2017 |
No comments:
Post a Comment