Ile dhana ya kuwa wanaoanguka msalani huwa wametupiwa jini sasa yapata maelezo ya kina kutoka kwa Profesa Mohamed Janabi ,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika kipindi cha dakika 45.usikose fulsa ya kutazama kipindi hiki ili uweze kuitambua hali yako kiafya.NI KIPINDI CHA DK 45 : PROF. JANABI ATOA FUNZO JUU YA WATU WANAOANGUKA MSALANI | |
| 18 Likes | 18 Dislikes |
| 3,268 views views | 207,451 followers |
| Education | Upload TimePublished on 16 Jan 2017 |
No comments:
Post a Comment