Hali ya taharuki imejitokeza baada ya awali kuelezwa kuwa mwili wa mwendesha boda boda Kasim Njovu aliyepotea kwa siku 12 umeonekana kwenye msitu wa JWTZ Ruhuwiko ambapo wananchi walikusanyika huku wanajeshi na askari polisi wakiutafuta mwili huo bila mafanikio hadi ulipokutwa ukielea kwenye mto Ruvuma katika kijiji cha Litapwasi.Mwili wa dereva bodaboda wakutwa mto Ruvuma baada ya kupotea kwa siku 12. | |
| 3 Likes | 3 Dislikes |
| 1,399 views views | 207,451 followers |
| Education | Upload TimePublished on 8 Mar 2017 |
No comments:
Post a Comment