
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti ambazo zimetokea jijini Mbeya, moja ikilihusisha gari la mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi kumgonga mwanafunzi na kusababishia kifo, na nyingine ikihusisha gari la polisi la kikosi cha usalama barabarani ambalo limepinduka wakati likielekea kwenye ajali hiyo ya mbunge na kujeruhi askari wanne.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti jijini Mbeya |
| 11 Likes | 11 Dislikes |
| 4,288 views views | 207,451 followers |
| Education | Upload TimePublished on 17 Dec 2016 |
No comments:
Post a Comment