
Vikao vya Bunge vinaendelea mjini Dodoma na katika kipindi cha maswali na majibu baadhi ya wabunge akiwepo mbunge wa Bukoba mjini Mh.Wilfred Rwakatare wametaka kujua namna ambavyo wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera walivyosaidiwa na fedha zilizochangwa kwa ajili yao ambapo serikali imefafanua kuwa fedha hizo ambazo zimechangwa na wananchi mbalimbali zinawafikia walengwa kupitia huduma za kijamii kama hospitali na shule.
- ipp media the guardian, ipp media group, ipp media tanzania, ippmedia habari, itv tanzania contacts, itv daima live, ipp media logo, itv habari leo 2018, ipp media newspapers, ipp media wikipedia, itv habari za saa, itv tanzania joho, itv habari 2019, ipp media tanzania swahili news, ipp media group of companies, itv habari jana, itv tanzania app download, itv habari za michezo, itv habari leo 2017, itv habari leo saa mbili usiku, itv habari saa mbili usiku, itv habari mubashara, ipp media tv, itv tanzania apk, ipp median, ippmedia swahili, itv tanzania live stream, itv tanzania 2019, itv tanzania habari, itv tanzania lyngsat, itv habari 2017, itv habari live, itv habari online, itv tanzania live, itv habari leo saa 2 usiku, itv tanzania frequency and symbol rate, itv tanzania twitter, itv tanzania news, ipp media contacts, ipp media itv, itv habari live youtube, ipp media tanzania english news, itv tanzania online, itv tanzania instagram, ipp media-col, itv tanzania frequency, itv daima habari, itv habari leo usiku, itv tanzania leo, itv habari live leo 2017, itv habari ya leo, itv habari tanzania, ippmedia magazeti, itv tanzania app, itv tanzania app ios, itv tanzania youtube, ipp media nipashe, ipp media news, itv tanzania live youtube, ipp media meaning
Mbunge wa Bukoba Mh.Rwakatare ahoji fedha zilizochangwa kwaajili ya waathirika wa Tetemeko Kagera. |
| 10 Likes | 10 Dislikes |
| 2,423 views views | 207,451 followers |
| Education | Upload TimePublished on 2 Feb 2017 |
No comments:
Post a Comment